Yanga yaja na TOFALI LA UBINGGWA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jul 2025
Yanga yaja na TOFALI LA UBINGGWA

Uongozi wa klabu ya Yanga, leo saa 5 asubuhi watazungumza Wanachama na Mashabiki wao kupitia Mkutano na Wanahabari ambao utafanyika Makao Makuu ya klabu hiyo, Jangwani

Katika Mkutano huo, Yanga inatarajiwa kuzindua kampeni kubwa ya Wanachama na Mashabiki iliyopewa jina la TOFALI LA UBINGWA

Kupitia kampeni hiyo, kila Mwanachama anatakiwa kulipia ada yake ya mwaka, zoezi hilo likienda sambamba na kusajili Wanachama wapya

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema lengo la Yanga ni kusajili Wanachama Milioni 1 na wote walipie ada zao ili kuiwezesha Yanga kutimiza malengo yake ya msimu ujao

"Malengo ni kupata matofali milioni 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao. Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha mambo makuu mawili Wanayanga wenzangu"

"Moja tutakuwa Tumepata hela ya kufanya usajili mkubwa utakaotupa timu bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu"

"Pili tutakuwa tumepata bajeti nzuri ya kuiwezesha Yanga yetu kushindana kikamilifu katika mashindano yote (ya ndani na yale ya CAF). Tofali la ubingwa linauzzwa Tsh 24,000/-," alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
25m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’