Paredi ya nne imehitimishwa pale Jangwani burudani ya aina yake kutoka kwa Mbosso Khan, Meja Kunta na wasanii wengine wakali
Burudani zilifuata baada ya paredi iliyofana kutoka Terminal 1 pale JNIA hadi Jangwani msafara ukiweka kambi ya muda mfupi pale mtaa wa Msimbazi kama ilivyo kawaida
Itoshe kusema Yanga ilitambulisha utaratibu huu wa kufurahia mataji hapa nchini na imeendelea kudumisha ubora wa sherehe
Ahadi ya uongozi ni kuwa sherehe hizi zitaendelea kwa miaka 10 mfululizo...!




ADVERTISE HERE