Wananchi wameendelea kuunga msafara wa paredi ya ubingwa kuelekea Makao Mkuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam
Hii ni siku nyingine ya kihistoria kwa mashabiki wa Yanga ambapo leo wameungana kufurahia mataji matano ambayo timu yao imetwaa msimu uliomalizika






ADVERTISE HERE