Mapema leo, viongozi wa Yanga wakiwa pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Klabu, Ghalib Said Mohammed, walitembelea kituo cha Madrasat Khayria na kutoka msaada mbalimbali , ikiwa ni sehemu ya kurejesha kwa Jamii kuelekea mchezo wa Fainali wa Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Singida Black Stars








ADVERTISE HERE