Jana vijana wetu wa kikosi cha pili (Yanga B) walilazwa mabao 3-1 na Prisons (kikosi cha kwanza) katika mchezo maalumu wa hisani ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, huo ukiwa ni mchezo wa fainali.
Mchezo huo ulipigwa kwenye dimba la Sokoine mkaoni Mbeya
Yanga ilitinga fainali ya michuano hiyo baada ya kuilaza Mbeya City mabao 3-0.
Hongera vijana kwa kufanikiwa kutinga fainali, kufungwa ni moja ya matokeo ya mchezo

ADVERTISE HERE