Maandalizi ya Derby ni Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jun 2025
Maandalizi ya Derby ni Avic Town

Kikosi cha Yanga kilirejea jijini Dar es mapema jana wakitokea Zanzibar ambako jana walikamilisha mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji wakiibuka na ushindi wa mabao 5-0

Baada ya kuwasili Dar, wachezaji walielekea Avic Town moja kwa moja kwa ajili ya kukamilisha maandalizi ya mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Jumatano, Juni 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 11 jioni

Ulinzi mkali umewekwa Avic Town, hakuna kuingia kwa mtu yoyote asiyehusika na timu

Yanga imepania kutetea taji la ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo tena kwa kushinda mechi hiyo ya dabi ya Kariakoo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’