Bodi ya ligi imetangaza Mkutano na wanahabari kuelekea mchezo wa dabi ya Kariakoo utafanyika leo, Makao Makuu ya benki ya NBC jijini Dar es salaam
Yanga ikiwa mwenyeji wa mchezo huo, inatarajiwa kushiriki Mkutano utakaoanza saa 6 mchana

ADVERTISE HERE