Uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundaton, leo wametembelea kituo cha kulea watoto yatima cha Daru Onaiza kilichopo Mwanakwerekwe, Zanzibar na kuwapatia mahitaji mbalimbali

ADVERTISE HERE