Kikosi cha Yanga kimewasili Zanzibar tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Kesho Jumapili, Juni 22 Wananchi watashuka uwanja wa New Amaan Complex tayari kwa mechi ya raundi ya 30
Wakati timu nyingine zikihitimisha msimu hapo kesho, Yanga itacheza mechi ya mwisho dhidi ya watani zao Simba Jumatano, Juni 25 dimba la Benjamin Mkapa
Baadae ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, Yanga itaendelea kusalia Zanzibar kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba
ADVERTISE HERE