Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Sokoine
Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho jioni katika dimba la Sokoine









ADVERTISE HERE