Uongozi wa Yanga umethibitisha kiungo mkabaji Said Juma Makapu ambaye wakati mwingine hucheza nafasi ya beki wa kati ataukosa mchezo wa keshokutwa dhidi ya Rayon Sports.
Makapu ataukosa mchezo huo kutokana na kutumikia adhabu ya kuwa na kadi mbili za njano.
Makapu alionyeshwa kadi za njano kwenye michezo dhidi ya Wolaitta Dicha na USM Alger

ADVERTISE HERE