Mechi za raundi ya 29 na 30 kupigwa muda mmoja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2025
Mechi za raundi ya 29 na 30 kupigwa muda mmoja

Ili kuhakikisha hakuna upangaji wa matokeo ya namna yoyote, mechi za ligi kuu ya NBC raundi ya 29 na 30 zitapigwa saa 10 jioni

Mechi zote za raundi ya 29 zitapigwa Jumatano Juni 18 na raundi ya 30 zitapigwa Jumapili Juni 22 2025

Jumatano mabingwa wa nchi Yanga watakuwa Mbeya kumenyana na Tanzania Prisons kisha kuelekea Zanzibar kuikabili Dodoma Jiji siku ya Jumapili katika uwanja wa New Amaan Complex

Wakati timu nyingine zitamaliza msimu Jumapili, Yanga na Simba zitahitimisha msimu siku ya Jumatano, Juni 25 dimba la Benjamin Mkapa kwa mchezo namba 184 kupigwa

Kimahesabu Yanga inahitaji kushinda mechi mbili zinazofuata na angalau kupata hata sare katika mchezo dhidi ya Simba ili kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’