Waziri Junior amejiunga Azam FC

Admin By Admin
β€’
6 Jun 2017
Waziri Junior amejiunga Azam FC
Waziri Junior alikuwa kinara wa upachikaji mabao klabu ya Toto African akiifungia timu hiyo iliyoshuka daraja mabao sita.

Azam FC imetumia 'umafya' kumnyakuwa mshambuliaji huyu ambaye alikuwa tayari amemalizana na uongozi wa Yanga.

Viongozi wetu wawe serious kwenye kuhakikisha wachezaji waliotakiwa na benchi la ufundi wanapatikana.



Maana huyu alitakiwa kusaini jana mchana lakini kwa kuwa viongozi wetu walizubaa wenzetu Azam wakatumia mwanya huo kumsajili saa chache baade na kumtangaza kwenye vyombo vya habari mara moja.

Leo wamemtambulisha rasmi kupitia press iliyoitishwa na msemaji wa timu hiyo Jaffar Iddi Maganga
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’