Siku tatu kuelekea maamuzi magumu ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jun 2025
Siku tatu kuelekea maamuzi magumu ya Yanga

Ni siku tatu zimebaki kuelekea Juni 15 tarehe iliyopangwa kwa mchezo namba 184 ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao umepelekea kuibuka kwa mgogoro mkubwa katik mpira wa miguu Tanzania Bara

Mechi hiyo ilipaswa kupigwa March 08 lakini Bodi ya ligi iliiahirisha pasipo kufuata kanuni na taratibu za uendeshajii wa soka nchini

Mpaka sasa bado masharti matatu ambayo Yanga wamehitaji yatimizwe ili wacheze mchezo huo, hakuna taarifa kama yameshatimizwa au la

Hakuna kilichobadilika kwa msimamo wa Yanga kama Bodi ya ligi itaendelea na ratiba kama walivyoipanga, watarajie kutoiona Yanga uwanjani siku ya Jumapili

Lakini pia watarajie kutoiona Yanga uwanjani katika mechi nyingine mbili zitakazokuwa zimebaki dhidi ya Tanzania Prisons na Dodoma Jiji

Zaidi Yanga haitashiriki ligi kuu msimu ujao kama masharti hayo hayatatimizwa

Masharti hayo ni kujiuzulu kwa Mtendaji Mkuu wa TPLB na Katibu Mkuu wa TFF pamoja na kuvunjwa kwa Kamati ya saa 72

Kama masharti hayo yatatekelezwa, Yanga itakuwa tayari kucheza mechi namba 184 lakini katika tarehe nyingine tofauti na Juni 15

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’