Kwa mujibu wa barua iliyoandikwa na Yanga April 16 2025 kwenda kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Yanga inalidai Shirikisho hilo Tsh Milioni 226
Fedha hizo ni baada ya TFF kukata makato ya gharama za usajili wa wachezaji
Yanga imekuwa na madai mbalimbali ya fedha za zawadi, mapato ya milangoni na udhamini katika misimu mitatu iliyopita




ADVERTISE HERE