Yanga yapigilia msumari wa HATUCHEZI NG'O

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2025
Yanga yapigilia msumari wa HATUCHEZI NG'O

Yanga imeendelea kushikilia msimamo wake wa kutocheza mechi namba 184 ligi kuu ya NBC dhidi ya Simba hadi pale malalamiko yao yatakapofanyiwa kazi na mamlaka za soka nchini

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na mabingwa hao wa soka Tanzania, mechi zilizobaki kuhitimisha msimu ni tatu tu

Juni 18 dhidi ya Tanzania Prisons (Ligi Kuu), Juni 22 dhidi ya Dodoma Jiji (Ligi Kuu) na mchezo wa mwisho ni fainali ya kombe la CRDB dhidi ya Singida Black Stars

Katika hatua nyingine, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha kuwa timu hiyo imepokea mialiko ya kucheza mechi za kirafiki Rwanda na Kenya

"Ni kweli tuna mialiko miwili kutoka Rwanda na Kenya. Rayon Sports wametupa mwaliko kwenda kucheza nao mechi ya kirafiki lakini pia Gor Mahia wametualika Kenya"

"Uongozi unafanya tathmini na kutawataarifu mashabiki wetu wapi tunakwenda. Kama itakuwa Rwanda tutaandaa utaratibu wa safari kwa mashabiki pia"

"Hapo Rwanda tuna historia nafikiri wengi mnakumbuka tulichofanya miaka miwili iliyopita tulipokwenda kucheza na Al Merrikh," alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’