Jana usiku, hafla ya tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ilifanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es salaam
Klabu ya Yanga iliondoka na tuzo ya timu bora ya mwaka 2024, Makamu wa Rais Arafat Haji akiipokea tuzo hiyo
Ni mara ya pili mfululizo Yanga inashinda tuzo hiyo ambayo pia walishinda mwaka 2023

ADVERTISE HERE