Yanga kuanza mawindo ya mechi ya Kimataifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jun 2025
Yanga kuanza mawindo ya mechi ya Kimataifa

Baada ya mapumziko ya takribani siku 10, kikosi cha Yanga leo kinarejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports ambayo itapigwa Juni 15 pamoja na mechi za kuhitimisha msimu

Yanga imethibitisha kupokea mwaliko kutoka klabu ya Rayon Sports ambapo Juni 15 itashuka dimba la Amahoro kuchuana na miamba hao wa Rwanda

Hata hivyo baadhi ya wachezaji ambao wameitwa kutumikia timu za Taifa, wao wanakwenda kujiunga na mataifa yao

Nyota hao ni Ibrahim Bacca, Dickson Job, Shekhan Khamis, Clatous Chama, Kennedy Musonda, Djigui Diarra, Khalid Aucho na Prince Dube

Kulingana na msimamo wa Yanga, mechi zilizobaki kwenye ligi ni mbili tu dhidi ya Prisons Juni 18 na Dodoma Jiji Juni 22 pamoja na fainali ya CRDB dhidi ya Sngida BS

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’