Yanga kushiriki michuano ya kombe la Kagame

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2018
Yanga kushiriki michuano ya kombe la Kagame
Klabu za Yanga, Simba na Azam FC zinatarajiwa kushiriki michuano ya kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza mwezi Juni 2018 jijini Dar es salaam.

Kwa mara ya mwisho michuano hiyo ilifanyika mwaka 2015 na Azam FC kutawazwa mabingwa.

Bingwa wa michuano hiyo anatarajiwa kulamba kiasi cha Tsh milioni 68.

Mbali na michuano hiyo, Yanga pia itashiriki michuano ya Sportpesa inayoandaliwa na kampuni ya SportPesa michuano ambayo inahusisha timu zinazodhaminiwa na kampuni hiyo.

Mwaka huu itafanyika nchini Kenya na mshindi wake atajinyakulia kitita cha Mil 50.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’