Mapema leo, Uongozi wa Yangaa kwa kushirikiana na GSM Foundation, wamekabidhi hundi ya mchango wa shilingi milioni 50 kwenye Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Yanga ni mshirika wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuchangia matibabu ya moyo kwa watoto wasio na uwezo, kutoa uelewa kwa jamii kuhusu magonjwa ya moyo na kutangaza huduma zinazotolewa na Taasisi hiyo
ADVERTISE HERE