Ligi Kuu kumalizika Juni 22

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 May 2025
Ligi Kuu kumalizika Juni 22

Bodi ya Ligi (TPLB) imetoa ratiba ya mechi za kuhitimisha msimu wa ligi kuu 2024/25

Kulingana na ratiba hiyo iliyofanyiwa ,maboresho, mchezo kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga utapigwa Juni 18 na mechi ya mwisho kati ya Yanga dhidi ya Dodoma Jiji itapigwa Juni 22

Hakuna mabadiliko kwa mchezo dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa May 13 katika uwanja wa KMC Complex huku mchezo wa nusu fainali kombe la CRDB dhidi ya JKT Tanzania utapigwa May 18

Mchezo namba 184 dhidi ya Simba ambao Yanga imeweka msimamo wa kutocheza, umepangwa kupigwa Juni 15

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’