Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi ameshinda tuzo ya kocha bora wa ligi kuu kwa mwezi April 2025
Hamdi ameibuka na tuzo hiyo ya pili kwake mbele ya Aman Josiah wa Tanzania Prisons na David Ouma wa Singida BS
Mwezi April Hamdi aliiongoza Yanga kushinda mechi zote nne za ligi na kuihakikishia Yanga kusalia kileleni mwa msimamo wa ligi
ADVERTISE HERE