Baada ya kutwaa ubingwa wa Muungano kwa mara ya saba, mabingwa wa Tanzania Yanga wanarejea jijini Dar es salaam
Kikosi cha Yanga kimeondoka Pemba kurejea Dar wakipitia Unguja

Taji la pili limeongezeka kabatini sasa nguvu zikielekezwa kushinda mataji mawili yaliyobakia yaani ligi kuu ya FA
Mchezo unaofuata kwenye ligi kuu ni dhidi ya Namungo Fc na utapigwa May 13 katika uwanja wa KMC Complex
Yanga itakuwa na siku 10 za kujiandaa na mchezo huo
ADVERTISE HERE