Pichani juu Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten akiwa na wadau wengine wa klabu ya Yanga jana katika maandalizi ya kipindi cha Yanga TV.
Usikose kipindi cha leo Ijumaa kuanzia saa moja kamili jioni kutakuwa na mambo kemkem bila ya kusahau taarifa ya mipango ya Yanga baada ya kupoteza ubingwa wake msimu huu.

ADVERTISE HERE