Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya Muungano Super League
Yanga itashuka uwanjani kesho Jumamosi April 26 kumenyana na KVZ katika mchezo wa robo fainali










ADVERTISE HERE