Mashabiki na Wanachama wa Yanga wamechangisha Tsh Milioni 5 na leo kumkabidhi Meneja wa Habari na Mawasiliano Ali Kamwe
Fedha hizo ni kwa ajili ya kulipa faini baada ya msemaji huyo kuadhibiwa na Kamati ya Maadili ya TFF




ADVERTISE HERE