Wakati ligi kuu ya NBC ikielekea ukingoni, Yanga imeweka rekodi ya kuzifunga timu zote 15 zinazoshiriki ligi hiyo msimu huu
Baadhi ya timu zimewachangia Wananchi alama sita kwa kupigwa nje ndani huku nyingine zikichangia alama tatu
Lakini pia kuna timu ilikimbia kuogopa kupigwa nje ndani na pengine kuwekwa rekodi ya vipigo vingi mfululizo!
Timu zilizofungwa nje ndani
- Kagera Sugar
- Ken Gold
- Pamba Jiji
- Singida Black Stars
- Fountain Gate
- Mashujaa
- KMC
- Coastal Union
Timu zilizofungwa mechi 1
- Azam Fc
- JKT Tanzania
- Tabora United
- Simba
Timu zinazoweza kufungwa mara ya pili
- Dodoma Jiji
- Prisons
- Namungo
Timu zilizokimbia mechi kukwepa kufungwa Nje Ndani
- Simba
ADVERTISE HERE