Katika mechi mbili zilizopita, Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi alimtumia mlinzi wa kulia Kibwana Shomari badala ya Israel Mwenda ambaye tangu alipotua kwa Wananchi katika usajili wa dirisha dogo, 'alijihakikishia kuanza
Hata hivyo ni kama Kibwana 'amepindua meza' baada ya kucheza vizuri mechi mbili dhidi ya Azam Fc na Stand United
Wakati Yao Kouassi majeruhi yamemfanya amalize msimu mapema, Kibwana na Mwenda wanampa Hamdi uhakika wa kuendelea kupata huduma bora katika safu ya ulinzi upande wa kulia


ADVERTISE HERE