Kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate utakaopigwa Jumatatu, April 21 huko Manyara
Wananchi watakamilisha maandalizi yao jijini Dar es salaam kabla ya safari ya kuelekea Manyara siku ya Jumamosi






ADVERTISE HERE