Kila timu imeonja kipigo cha Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Apr 2025
Kila timu imeonja kipigo cha Yanga

Wakati ligi kuu ya NBC ikiwa katika hatua za lala salama, mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga wameweka rekodi ya aina yake

Ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi ikikusanya alama 67, Yanga imezifunga timu zote 15 zinazoshiriki ligi msimu huu

Juzi Wananchi walilipa kisasi dhidi ya Azam Fc wakipata ushindi wa mabao 2-1 uwanja wa Azam Complex

Lakini pia mapema mwezi huu Yanga ililipa kisasi kingine mkoani Tabora kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United

Azam Fc na Tabora United ndio timu pekee zilizopata ushindi dhidi ya Yanga kwenye duru la kwanza huku JKT Tanzania wakifanikiwa kupata sare katika mchezo wa duru la pili baada ya kipigo cha mabao 2-0 kwenye mechi ya duru la kwanzaa

Ni mwendelezo wa ubabe wa Wananchi kwenye ligi kuu mkakati ukiwa kutwaa taji la ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’