Timu za KMC, JKT Tanzania, Biashara FC, African Lyon, Coastal Union na Alliance Schools zimethibitishwa rasmi kushiriki ligi kuu ya Vodacom msimu ujao.
Kulingana na taarifa ya Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi iliyotolewa kwa vyombo vya Habari leo, Bodi imezipongeza timu hizo kwa kufanikiwa kupanda daraja kutoka ligi daraja la kwanza.
Kalenda ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inamalizika Mei 31, 2018.
Ligi kuu ya Vodacom msimu ujao itashirikisha timu 20 ambapo zimepanda timu sita huku zikitarajiwa kushuka timu mbili.

ADVERTISE HERE