Bao alilofunga Pacome Zouzoua katika mchezo dhidi ya Coastal Union leo, limeihakikishia Yanga kubeba alama tatu muhimu na kuzidi kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi
Lakini pia katika mechi ya tatu mfululizo, Pacome anabeba tuzo ya nyota wa mchezo
Pacome alikuwa katika kiwango bora leo na pengine kama angekuwa makini angeweza kufunga hata mabao matatu
Tuzo 7 za nyota wa mchezo, dalili njema kwake wakati msimu ukielekea ukingoni
ADVERTISE HERE