Kocha Mkuu wa Yanga Princess Edna Lema 'Mourinho' leo amepata nafasi ya kusimamia mazoezi ya kikosi cha Yanga kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Jumatatu, April 07 katika uwanja wa KMC Complex
Lema ni sehemu ya benchi la ufundi la Yanga katika maandalizi ya mchezo huo na bila shaka Jumatatu atakuwa kwenye benchi





ADVERTISE HERE