Kamwe atangulia Tabora

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Mar 2025
Kamwe atangulia Tabora

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe sambamba na Mkurugenzi wa Wanachama na Masoko, Ibrahim Samuel wamewasili mkoani Tabora mapema leo kwa ajili ya zoezi la kusajili Wanachama na mashabiki

Leo Yanga itashuka dimba la KMC Complex kuikabili Songea United katika mchezo wa hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho la CRDB

Baada ya mchezo huo Yanga itaelekea mkoani Tabora kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tabora United utakaopigwa April 02 dimba la Ali Hassan Mwinyi

Wananchi wa Tabora wako tayari kwa mapokezi ya mabingwa wa nchi..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’