FT : Simba Queens 0-1 Yanga Princess, WPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2025
FT : Simba Queens 0-1 Yanga Princess, WPL

Kama ilivyotarajiwa Yanga Princess imeibuka kidedea uwanja wa KMC Complex ikiichapa Simba Queens bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake

Jeannine mshambuliaji wa Kimataifa wa Rwanda ndiye aliyepeleka kilio Msimbazi akifunga bao pekee la ushindi katika kipindi cha pili

Ni ushindi mwingine wa heshima kwa Kocha Edna Lema ambaye sasa anaandikisha ushindi wake wa pili katika mechi tatu zilizopita dhidi ya Simba Queens

Yanga Princess sasa imeiva, msimu huu haikuanza vyema lakini timu hii inakwenda kubeba ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake msimu ujao

Yanga Princess imefikisha alama 27 ikiendelea kusalia katika nafasi ya tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’