Za ndaani, majibu ya Bodi ya ligi ni haya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Mar 2025
Za ndaani, majibu ya Bodi ya ligi ni haya

Taarifa za ndani zimebainisha kuwa Bodi ya Ligi imejibu barua ya Yanga ambapo imeweka wazi hakuna uwezekano wa kuwapa alama tatu za mchezo dhidi ya Simba

Bodi imeeleza kuwa sababu za kuahirisha mchezo huo zilikuwa ni za kiusalama

Pia imedai kuna tuhuma za rushwa, vitisho na kasoro za kiusalama hivyo ingekuwa ngumu kuruhusu mchezo uendelee kwani ungeleta changamoto, kabla, wakati na hata baada ya mchezo

Ni wazi sasa kilichobaki ni kutangazwa tarehe mpya ya mchezo huo huku Yanga ikiweka msimamo wake mapema kuwa HAITACHEZA

Tayari uongozi wa Yanga uko kwenye mchakato wa kulipeleka shauri hilo CAS

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’