Shirikisho la soka nchini (TFF) limevikumbusha vilabu vya Yanga, Coastal Union na AFC kufanya uchaguzi kujaza nafasi zilizowazi.
TFF imeiagiza Kamati yake ya Uchaguzi kuwasiliana na vilabu husika kuvitaka viainishe mchakato wake wa uchaguzi.
Tayari klabu ya Yanga imeitisha Mkutano Mkuu wa wanachama ambao baada ya kuahirisha awali, sasa utafanyika Juni 17 2018.
Moja ya Ajenda ya Mkutano huo ni kujaza nafasi zilizoachwa wazi.
Moja ya nafasi hizo ni ya Mwenyekiti, nafasi ambayo imekuwa iki-kaimiwa na Makamu Mwenyekiti, Clement Sanga tangu kujiuzulu kwa Yusufu Manji.

ADVERTISE HERE