Mabingwa wa Samia Super Cup 2025 Yanga Princess wameondoka Arusha leo wakiwa na taji lao walilokabidhiwa jana katika kilele cha siku ya Wanawake duniani
Yanga Princess ilishinda taji hilo baada ya kuichapa JKT Queens mabao 3-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa March 06
Baada ya juhudi kubwa za takribani misimu mitatu kuiboresha timu hiyo, sasa mwanga umeanza kuonekana kuelekea nchi ya ahadi..!





ADVERTISE HERE