TPLB yatangaza kuahirisha mechi dhidi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2025
TPLB yatangaza kuahirisha mechi dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi Kuu imetoa taarifa ya kuahirisha mchezo wa ligi kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao ulipangwa kupigwa leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Taarifa iliyotolewa na Bodi imebainisha kuwa Kamati inahitaji muda kupitia ushahidi wa baadhi ya matukio ambayo yalipelekea klabu ya Simba kushindwa kufanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Benjamin Mkapa jana

Bodi imeeleza kuwa mchezo huo utapangiwa tarehe nyingine

Hata hivyo Yanga ilitoa msimamo wake mapema kuwa haitakuwa tayari kucheza mechi hiyo katika tarehe tofauti na leo kwani klabu inaamini taratibu zote za maandalizi kuelekea mchezo huo zilifuatwa

Yanga inatarajiwa kupeleka timu uwanjani katika muda ambao mchezo huo unapaswa kuchezwa

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema kikosi cha Yanga kitawasili dimba la Mkapa saa 11 jioni kwa ajili ya mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’