Kikosi cha Yanga kimeondoka Mwanza kurejea Dar es salaam baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba jana
Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji umeifanya Yanga iongeze gap la pointi dhidi ya watani zao Simba kufikia alama 7
Mchezo unaofuata sasa ni dhidi ya Simba, Jumamosi ijayo March 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Hii ndio mechi ambayo Yanga inaweza kuanza safari ya kwenda kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo








ADVERTISE HERE