Chamangwana, kocha wa zamani Yanga aaga dunia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 May 2018
Chamangwana, kocha wa zamani Yanga aaga dunia
Aliyewahi kuwa mkufunzi wa Yanga Jack Chamangwana amefariki dunia jana nchini Malawi katika Hospitali ya Queens.

Chamangwana ambaye pia amewahi kuitumikia kwa mafanikio makubwa timu ya Taifa ya Malawi, alikimbizwa kwenye Hospitali hiyo baada ya kuugua ghafla.

Chamangwana aliiwezesha Yanga kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara kwa misimu miwili mwaka 2005 na 2006.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, AMEN.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
16h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
20h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
21h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
21h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’