Yanga yaondoka Algeria leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 May 2018
Yanga yaondoka Algeria leo
Kikosi cha Yanga kinaondoka nchini Algeria leo baada ya mchezo dhidi ya USM Alger, kikirejea kupitia njia ile ile ya Dubai.

Usiku wa kuamkia leo Yanga imeanza vibaya hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya kubamizwa mabao 4-0 na USM Alger.

Baada ya kurejea Yanga itaelekea mkoani Mbeya Kuikabili Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom, May 10 kisha kuelekea mkoani Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar May 13.

Yanga itarejea tena Dar kwa ajili ya mchezo wa pili wa kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports, May 16
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’