Mamia ya mashabiki wa Yanga wamejitokeza uwanja wa ndege wa Kigoma kuilaki timu yao iliyotua mapema leo ikitokea Dar es salaam
Jumapili katika dimba la Lake Tanganyika, Yanga itamenyana na Mashujaa Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Wananchi wa Kigoma wako tayari kwa mchezo huo muhimu Yanga ikizihitaji alama zote tatu






ADVERTISE HERE