Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Amissi Tambwe ametua Singida Black Stars kuwa Meneja wa timu hiyo
Baada ya kuitumikia Yanga kwa mafanikio makubwa na kish kuitumikia Singida BS kwa muda mfupi kabla ya kurejea kwao Burundi, Tambwe amerudi Tanzania kwa mara nyingine sasa akikabidhiwa majukumu ya kiuongozi
Tambwe ameacha historia kubwa, lile tukio la kwanza la mashabiki wa Simba kun'goa viti uwanja wa Benjamin Mkapa, chanzo alikuwa Tambwe!
ADVERTISE HERE