Yanga ikiongoza ligi tu, GSM lawamani...!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Feb 2025
Yanga ikiongoza ligi tu, GSM lawamani...!

Wakati wao wanaoongoza ligi zile kelele za GSM anaharibu ligi hazikusikika, lakini sasa zimeanza kurudi kwa kasi baada ya wananchi kukaa kileleni wakiongoza kwa tofauti ya alama 5!

Yanga inashinda mechi zake bila ya 'makando-kando' tofauti na timu nyingine ambazo kama utafuatilia kwa umakini badhi ya timu, utabaini kuna mechi nyingi walichukua alama tatu ambazo hawakustahili

Ni bahati mbaya sana mpira wa Tanzania siasa za nje ya uwanja ni sehemu yake!

Yaani kuna watu wanaamini kupitia propaganda za nje ya uwanja wanaweza kuzisaidia timu zao kuwa mabingwa

GSM ni mfanya biashara na ametoa udhamini katika timu mbalimbali kwa kuzingatia sheria

TFF ilishajibu hizi tuhuma za kila mara zinazopelekwa kwa GSM, Mnyabiashara anayetaka kudhamini klabu yoyote ruksa muhimu azingatie sheria

Halafu hizi kelele ni kwa nini zinaibuka pale Yanga inapokaa kileleni mwa msimamo wa ligi? 

Wakikaa wengine GSM hana baya, lakini ikikaa Yanga, GSM anaharibu ligi...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’