Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki leo ameachana na 'ukapera' baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake, Hamisa Mobeto
Ndoa hiyo imefungwa katika msikiti wa Mbweni jijini Dar es Saalam



Tumtakie kila la kheri katika maisha mapya ya ndoa...!
HONGERA AZIZ KI...!
ADVERTISE HERE