Kituo cha runinga cha ZBC2 kimethibitisha kuwa kitarusha mubashara mchezo wa kwanza wa kombe la shirikisho kundi D kati ya USM Alger dhidi ya Yanga.
Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la El Djezair, Algiers na unatarajiwa kuanza saa nne kamili usiku kwa saa za Tanzania.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema kikosi cha Yanga kiko tayari kwa mchezo huo, hakuna mchezaji majeruhi miongoni mwa wachezaji 18 waliosafiri nchini Algeria.

ADVERTISE HERE