KMC vs Yanga, ni dabi ndogo KMC Complex

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Feb 2025
KMC vs Yanga, ni dabi ndogo KMC Complex

Ijumaa Februari 14 Yanga inarudi tena uwanja wa nyumbani KMC Complex kumenyana na wenyeji wao KMC katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC

Unaweza kusema ni dabi ndogo itapigwa pale Manispaa ya Kinondoni kwani inazikutanisha timu mbili za jijini Dar es salaam ambazo zinatumia dimba la KMC Complex kama uwanja wao wa nyumbani

Itakuwa mechi ngumu, KMC haijawahi kuwa na unyonge napokutana na Yanga licha ya kuwa msimu uliopita ilikumbana na vpigo vikubwa mbele ya Wananchi

Timu hizo zilipokutana katika mechi ya duru ya kwanza, Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0, Maxi Nzengeli akifunga bao pekee la ushindi katika mchezo uliopigwa dimba la Azam Complex

Kwa Yanga hii ni mechi ambayo alama tatu ni matokeo ya lazima ili kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi

Kwa jinsi ushindani ulivyo msimu huu, Yanga haina nafasi ya kudondosha alama zaidi ili kutetea ubingwa wake

Katika msimu huu mpaka sasa Yanga imepoteza alama 8 baada ya mechi 18 wakati msimu uliopita Yanga ilipoteza alama 10 katika mechi 30

Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi atahitaji kushinda mchezo huo ili kutuliza presha ya mashabiki ambao wengi hawakufurahishwa na kiwango kiwango kilichoonyeshwa na timu yao katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’