Februari 11 Yanga itaadhimisha kumbukumbu ya miaka 90, tangu klabu hiyo ilipoundwa mwaka 1935
Kuelekea tmaadhimisho hayo, leo wachezaji Prince Dube, Khalid Aucho na Kennedy Musonda walitembelea Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam iliyopo Kidongo Chekundu na kutoa zawadi mbalimbali kwa wanafunzi
Pia walishiriki zoezi la kupanda mti kama sehemu ya kumbukumbu ya maadhimisho hayo





ADVERTISE HERE