Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi tayari amewasili jijini Dar es salaam kuanza majukumu ya kukinoa kikosi cha mabingwa hao wa nchi
Hamdi leo atashuhudia mechi ya kwanza ya vijana wake dhidi ya KenGold itakayopigwa dimba la KMC Complex saa 10 jioni
ADVERTISE HERE